Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange amekutana na
kuwapongeza wakuu wa mikoa walioapishwa ambao ni wanajeshi pale makao
makuu ya JWTZ, (Ngome), Upanga jijini Dar es Salaam, muda mfupi baada ya
kula kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 15, 2016.
Baada ya kuzungumza nao maneno mawili-matatu Jenerali Mwamunyange ambaye alikuwa na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali Venance Mabeyo alipiga nao picha nje ya jingo la makao makuu ya jeshi.
Pichani (wa tatu kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na wakuu wa Mikoa ma Jenerali wastaafu mara baada ya kuapishwa, walipomtembelea ofisini kwake Upanga Dar es salaam.
Kutoka kushoto ni Meja jenerali mstaafu Raphael Muhuga (Mkuu wa Mkoa wa Katavi),Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (Mkuu wa Mkoa wa Kagera), kutoka kulia Brigedia Jenerali mstaafu Emmanuel Maganga (Mkuu wa Mkoa wa Kigoma) na Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga (Mkuu wa Mkoa wa Geita).
Kushoto kwa Mkuu wa Majeshi ni Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Venance Mabeyo. (Picha na JWTZ)

0 comments:
Post a Comment