Home » » RAIS WA VIETINAM AONDOKA NCHINI

RAIS WA VIETINAM AONDOKA NCHINI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

mc4
Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh  wakiwapungia wananchi huku wakiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mc5
Rais wa Vietinam, Truong  Tan Sang akiagana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  wakati alipoondoka nchini  Machi 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mc6
 Rais wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh   wakiagana  na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mc7
mc1
Mpiga picha aliyeambatana na Rais wa Vietinam katika ziara yake nchini akicheza ngoma kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka nchini kwa Rais wake , Truong Tan Sang, Machi 11, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa