Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Waziri
wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akitoa taarifa kuhusiana na dhima ya
ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan
Sang nchini Tanzania na manufaa yake kwa pande zote mbili, leo 11 Machi,
2016 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment