Naibu SpikA, Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi ya Taa ya Solar
alilopewa na Ujumbe wa Wabunge kutoka Korea ya Kusini walipomtembelea
leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam, kulia ni Kiongozi wa Ujumbe huo,
Won Yoochul.
Naibu
Spika, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Ujumbe Wabunge kutoka Korea ya
Kusini walipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam
wakiongozwa na kiongozi wao Won Yoochul.
Naibu SpikA, Dkt. Tulia Ackson akionyeshwa zawadi ya Jarida la Watoto
alilopewa na Ujumbe wa Wabunge kutoka Korea ya Kusini walipomtembelea
leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam, kulia ni Kiongozi wa Ujumbe huo,
Won Yoochul.
0 comments:
Post a Comment