Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mauricio Ramos Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya Millicom International Service LLC (wanne kutoka
kushoto)ambayo inamiliki Kampuni ya simu ya Tigo aliyefika Ikulu pamoja
na ujumbe wake.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika mazungumzo na Watendaji Wakuu wa Kampuni ya FERROSTAAL
kutoka nchini Ujerumani na Denmark Ikulu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza
kushoto ni Balozi wa Denmark Einar Hebogard Jensen aliyeongoza Ujumbe
wa Kampuni hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment