Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » BREAKING NEWS: MNENGUAJI NA MWIMBAJI WA BENDI YA TWANGA PEPETA AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA!

BREAKING NEWS: MNENGUAJI NA MWIMBAJI WA BENDI YA TWANGA PEPETA AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA!


Aisha Madinda - enzi za uhai wake
Aisha Madinda - enzi za uhai wake alipokuwa stejini

Aisha Madinda - enzi za uhai wake akitambulishwa na Ally Choki alipojiunga na Extra Bongo

ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia hivi punde jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar.

Kujua matukio na stori mbali mbali alizowahi kupitia msanii huyu maarufu Bongo na kuripotiwa na mtandao huu, nenda hapa
:Credit:GPL
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa