Home » » MUKAMA AKUTANA NA BALOZI WA NIGERIA

MUKAMA AKUTANA NA BALOZI WA NIGERIA


Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kulia) akizungumza na Balozi wa
Nigeria hapa nchini, Ishaya Samaila Majanbu, Ofisini kwake, katika Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam.(Picha na
Bashir Nkoromo)

.Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kulia) akiagana na Balozi wa
Nigeria hapa nchini, Ishaya Samaila Majanbu, baada ya kuwa na
mazungumzo, Ofisini kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba mjini Dar es Salaam.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa