Home » » JUST IN : Rais Kikwete ateuwa wabunge watatu wapya leo

JUST IN : Rais Kikwete ateuwa wabunge watatu wapya leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wabunge watatu wapya
kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi aliyo nayo chini ya Ibara ya 66(i) (e)
ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wabunge hao wapya ni Profesa Sospeter Muhongo, Bi. Janet Mbene na Bwana James Mbatia.
Uteuzi huo unaanza mara moja.
Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu.Dar es Salaam.
3 Mei, 2012


0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa