Rais Amarndo Guebuza wa Msumbiji (kushoto) na Rais
Hifikepunye Pohamba wa Namibia (kulia) na Rais Dk. JakayaMrisho
Kikwete wakiwa kwenye picha ya pamoja mara ya kusalimiana walipowasili
kwenye Hotel ya Hyatt Regency kwa ajili ya mazungumzo ya Asasi ya
Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa
Afrika(SADC TROIKA)mjini Dar es Salaam,jana

Rais
Hifikepunye Pohamba wa Namibia(kushoto) wakiwa na mazungumzo na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye
hotel ya Hyatt Regency mjini Dar es Salaam,jana

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(kulia)
na Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) wakizungumza kwenye hotel ya
Hyatt Regency wakisubiri ya asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA)mjini Dar
es Salaam,jana

Amarndo Guebuza wa Msumbiji (kushoto)wakizungumza na Rais wa
Hifikepunye Pohamba wa Namibia (kulia) kwenye Hotel ya Hyatt Regency
mjini Dar es Salaam wakisubiri mazungumzo ya ya Asasi ya Siasa, Ulinzi
na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC
TROIKA)mjini Dar es Salaam,jana

Marais wote wanne kutoka (kushoto) Rais Amarndo Guebuza wa
Msumbiji,wa pili kushoto ni Rais wa Hifikepunye Pohamba wa Namibia`na
wakwanza kulia ni Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
anayefuata kulia ni Mwenyeji wa mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na
Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC
TROIKA) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete wakisubiri kuingia kwenye mkutano kwenye hotel Hyatt Regency ya
mjini Dar es Salaa, jana.
Picha Zote na Anna Itenda-MAELEZO

No comments:
Post a Comment