Home » » RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MKUTANO WA SADC (TROIKA) JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MKUTANO WA SADC (TROIKA) JIJINI DAR ES SALAAM



 Rais  Amarndo Guebuza wa Msumbiji (kushoto)   na Rais
Hifikepunye Pohamba  wa Namibia  (kulia) na Rais Dk. JakayaMrisho 
Kikwete wakiwa kwenye picha ya pamoja mara ya kusalimiana walipowasili
kwenye Hotel  ya Hyatt Regency kwa ajili ya mazungumzo ya Asasi ya
Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa
Afrika(SADC TROIKA)mjini Dar es Salaam,jana
 Rais
Hifikepunye Pohamba  wa Namibia(kushoto) wakiwa na mazungumzo na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. Jakaya Mrisho  Kikwete kwenye
hotel ya Hyatt Regency mjini Dar es Salaam,jana
 Rais Joseph Kabila wa Jamhuri  ya Kidemokrasia  ya Kongo(kulia)
na Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) wakizungumza kwenye hotel ya
Hyatt  Regency wakisubiri ya asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA)mjini Dar
es Salaam,jana
 Rais
Amarndo Guebuza wa Msumbiji (kushoto)wakizungumza na Rais wa  
Hifikepunye Pohamba  wa Namibia (kulia) kwenye Hotel ya Hyatt Regency
mjini Dar es Salaam wakisubiri mazungumzo ya  ya Asasi ya Siasa, Ulinzi
na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC
TROIKA)mjini Dar es Salaam,jana
Marais wote wanne kutoka (kushoto) Rais  Amarndo Guebuza wa
Msumbiji,wa pili kushoto ni Rais wa  Hifikepunye Pohamba  wa Namibia`na
wakwanza kulia ni Joseph Kabila wa Jamhuri  ya Kidemokrasia  ya Kongo
anayefuata kulia ni Mwenyeji  wa mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na
Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC
TROIKA) Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. Jakaya Mrisho 
Kikwete wakisubiri  kuingia kwenye mkutano kwenye hotel Hyatt Regency ya
mjini Dar es Salaa, jana.

Picha Zote na Anna Itenda-MAELEZO

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa