Home » » Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Rais wa Masuala ya Biashara za Kimataifa wa Kampuni ya TBEA ya China

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Rais wa Masuala ya Biashara za Kimataifa wa Kampuni ya TBEA ya China



 Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais wa Masuala ya Biashara za
Kimataifa wa Kampuni ya TBEA ya China, Bw. Wang Pinshan kabla ya
mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam September 4, 2012.
Kulia ni  Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo wa Masuala ya Biashara, Bw. Shi
Qiwen na wapili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, Bw. Andy.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Masuala ya Biashara za
Kimataifa wa Kampuni ya TBEA ya China,Bw. Wang Pinshan kabla ya
mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam September 4, 2012.
Kulia ni Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo wa Masuala ya Biashara, Bw. Shi
Qiwen na wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, Bw. Andy.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa