Home » » SEKTA YA MADINI WAJA NA VIPINDI VYA KUELIMISHA JAMII JUU YA SEKTA HIYO.

SEKTA YA MADINI WAJA NA VIPINDI VYA KUELIMISHA JAMII JUU YA SEKTA HIYO.


Baadhi ya wadau wa sekta ya madini nchini na waandishi wa habari wakifuatilia kwa makin vipindi  vya televisheni  vilivyotayarishwa na Chama Cha Madini na Nishati nchini vitakavyoonyeshwa kuanzia mwishoni mwa mwezi huu kutoa elimu juu ya sekta ya madini nchini,  wakati wa uzinduzi wake jijini Dar es Salaaam jana.
Mwenyekiti  na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Madini na Nishati nchini Joseph Kahama akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuzindua mfululizo wa vipindi vine vya televisheni vitakavyoonyeshwa kuanzia mwishoni mwa mwezi huu kutoa elimu juu ya sekta ya madini nchini.
Waandishi kazini.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa