Home » » MWENDESHA BODABODA AGONGWA MAKUTANO YA BARABARA ZA KILWA NA MANDELA ASUBUHI HII

MWENDESHA BODABODA AGONGWA MAKUTANO YA BARABARA ZA KILWA NA MANDELA ASUBUHI HII



Wasamaria
wema wakimsaidia Mwendesha Bodaboda  ambaye ambaye jina lake
halikupatikana mara moja kutokana na kupoteza fahamu mara baada ya
kugongwa na Daladala lenye namba za usajili T 681 ATX linalofanya safari
zake kati ya Mbagala na Kariako katika makutano ya barabara za Kilwa na
Mandela asubuhi hii jijini Dar es salaam.


Hapa akiwa amelala huku akiwa amepoteza fahamu.


Askari
wa kikosi cha usalama barabarani akiamuamuru dereva wa Daladala hilo
kulipeleka  kituoni kwa ajili ya hatua mbalimbali za kisheria kutokana
na kutokea kwa ajali hiyo.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa