Home »
» RAIS KIKWETE AMWAPISHA MKUU MPYA WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI, KAMISHNA JENERALI JOHN CASMIRI MINJA......
RAIS KIKWETE AMWAPISHA MKUU MPYA WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI, KAMISHNA JENERALI JOHN CASMIRI MINJA......
|
Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir Minja akipokea miongozo ya kazi kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana. |
|
Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmiri
Minja akila kiapo mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
ikulu jijini Dar es Salaam Jana. |
0 comments:
Post a Comment