Home » » EXTRA BONGO INAVYOPAGAWISHA GARDEN BREEZE RESORT MAGOMENI MAPIPA KILA JUMA PILI

EXTRA BONGO INAVYOPAGAWISHA GARDEN BREEZE RESORT MAGOMENI MAPIPA KILA JUMA PILI


Kiongozi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Choki akiimba na mwanamuziki Ramadhani Masanja 'Banza Stone' katika onesho lao lililofanyika kila jumapili katika Ukumbi wa  Garden Breeze Resort, Magomeni Mapipa, Dar es Salaam.  
Mpiga drams akiwajibika vilivyo
Wacheza shoo wa kiume wakizikonga nyoyo za mashabiki
Wacheza shoo wa Bendi hiyo wakiwajibika jukwaani
Mnenguaji Angel mastaili akionesha umahiri wa kusakata rhumba kwa staili ya namna yake
Wapiga magitaa wakiwajibika
Mashabiki wa Bendi hiyo wakisakata rhumba wakati wa onesho hilo lililofanyika jumapili.
(Picha zote na www.mwaibale.blogspost.com)

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa