Balozi
wa Finland Nchini Sinikka Antila
akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Sospeter Muhongo mara baada ya kuwasili.
Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb) akisisitiza jambo katika
kikao hicho. Kati ya masuala yaliyojadiliwa ni pamoja na ushirikiano baina ya
nchi ya Tanzania na Finland katika masuala ya teknolojia, uendelezaji wa rasilimaliwatu na usimamizi wa
fedha
0 comments:
Post a Comment