Mlezi wa chama cha wake wa viongozi Mama Tunu Pinda akipokea vitabu vyenye thamani ya shilngi milioni 35 kutoka kwa Meneja Mkuu
wa kituo cha kuendeleza vipaji kwa vijana THT Bwana Mwita Mwaikenda na
anaye shuhudia ni Mwenyekiti wa chama cha wake wa viongozi Germina
Lukuvi msaada huo wa vitatabu ni kwaajili ya kusaidia Elimu kwa watoto
na vijana wenye ulemavu wa ngozi (ALIBINO) sherehe hiyo ya makabidhiano
imefanyika katika makazi ya waziri mkuu jijini Dar es salaam Picha na
Chris Mfinanga.
Picha ya pamoja ya wake wa Viongozi na wafanyakazi wa THT.
0 comments:
Post a Comment