Meneja wa
Kanda ya Dar es Salaam Mfuko wa Pensheni
wa LAPF , Yessaya Mwakifulefule (wa pili kulia)
akimkabidhi Katibu wa kamati ya Usalama Barabarani Kanda Maalum, ACP
Peter Sima (kushoto), Hundi ya thamani ya Million Tatu walizotoa kwa ajili yakusaidia mahitaji ya
wiki ya nenda kwa usalama. Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo
Elifadhili Mgonja (wa pili kushoto) na Afisa masoko wa Mfuko huo Rehema Mkamba .
Home »
» MFUKO WA PENSENI WA LAPF WASAIDIA WIKI YA USALAMA BARABARANI
MFUKO WA PENSENI WA LAPF WASAIDIA WIKI YA USALAMA BARABARANI
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment