Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » JE NI SAHIHI KWA BENDERA KUBWA YA TAIFA LA TANZANIA KUPEPEA KATIKA BAR?

JE NI SAHIHI KWA BENDERA KUBWA YA TAIFA LA TANZANIA KUPEPEA KATIKA BAR?

Katika hali isiyo ya kawaida mitaa ya Sinza Shekilango imeonekana Bendera kubwa ya Taifa ikiwa inapepea ndani ya Bar huku kila mtu akitazama na kukaa kimya



 Dar es salaam yetu katika pitapita zake ilibaini tukio hilo  na kujalibu kuuliza na kupokea jibu moja tuu labda imewekwa kama moja ya pambo.
Hata hivyo juhudi za kuwauliza wahusika kwa nini wamefanya kuweka Bendela hiyo kubwa ya Taifa ambayo hupatikana maeneo husika na kwa kibali hazikufanikiwa kwa kila mtu kumtupia mwenzake mpira

Mpaka tunaondoka eneo la Tukio bado Bendera iliendelea kupepea na kwamba ipo hapo kila siku

 hizo ni Baadhi ya picha ya eneo hilo





1 comments:

Anonymous said...

Bendera inapaswa kuwa mahali popote , tena napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza hao waloweka bar , bendera huongera hisia za utaifa , acheni ushamba wa zamani kwamba ukiona bendera uiogope , afu taifa kubwa kama marekani hamwoni wao wanaweka hadi chooni bendera zao tanzania ina ukubwa gani , ACHA USHAMBA MWANDISHI Hayo ndo maneno ya kupoteza watu .

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa