Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » TUKIO KATIKA PICHA: BINTI AVULIWA NGUO NA KUTENDEWA VITENDO VIBAYA KITUO CHA MABASI USIKU HUU NI BAADA YA KUVAA NGUO FUPI

TUKIO KATIKA PICHA: BINTI AVULIWA NGUO NA KUTENDEWA VITENDO VIBAYA KITUO CHA MABASI USIKU HUU NI BAADA YA KUVAA NGUO FUPI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Hapa ilikuwa ni pata shika ambapo dada huyo amewekwa kati huku vijana wa eneo hilo wakiwa wanapiga kelele huku wakimvua nguo na kumfanyia vitendo visivyo vya kibinadamu
 Anaeonekana kwa mbali ni mdada ambaye alijitolea kwenda kumsaidia dada huyo ambae alikuwa amevaa kanguo kafupi ka nusu utupu akikatiza maeneo kituo cha basi cha mwenge usiku huu
 Hapa akiwa amevuliwa nguo na baadhi ya kina mama kumsaidia na kumwingiza katika gari moja wapo ili kumsitili

 Umati wa watu ukiwa umeongezeka na kuzingira basi hilo la abiria na kudai ashushwe ili waweze kumchapa na viboko kwa kitendo cha kuwadhalilisha akina dada wengine 

Angalizo: Hatukuweza kuweka picha za binti huyo akiwa mtupu kulingana na maadili.

Picha na Dar es salaam yetu 

1 comments:

Anonymous said...

Picha na maelezo haviendani. overall hazieleweki. Wekeni picha na hata mishale kuonesha wahusika ,kama maadili mwaweza kublur kama wanavofanya kwenye magazeti.Nice report but picha zimeharibu.

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa