Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » RAIS WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK. JAKAYA KIKWETE , AZINDUA RASMI MTAMBO MAALUM WA USIMAMIZI NA UHAKIKI WA MAWASILIANO YA SIMU, MAKAO MAKUU YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)

RAIS WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK. JAKAYA KIKWETE , AZINDUA RASMI MTAMBO MAALUM WA USIMAMIZI NA UHAKIKI WA MAWASILIANO YA SIMU, MAKAO MAKUU YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Viongozi mbalimbali wakiwa wanamngojea Mgeni Rasmi Kuwasili Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Serikari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwasili

 Mgeni Rasmi Kuwasili Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete ,  Rais wa Serikari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa amewasili kwa ajili ya uzinduzi Rasmi wa Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu , Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
 Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete ,  Rais wa Serikari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili kwake 

 Hili ni eneo maalum ambapo ndipo uzindizi huo ulifanyika
 Mgeni Rasmi Kuwasili Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete ,  Rais wa Serikari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizindua Rasmi Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu kwa kukata utepe ambapo sherehe hizo zilifanyika  Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya Mtambo wa Kuhakiki Takwimu za Mawasiliano (Telecommunication Traffic Monitoring System) aliouzindua leo February 27, 2014 katika jengo la Mawasiliano Towers jijini Dar es salaam. Kulia ni Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pro, Makame Mnyaa Mbarawa, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadick na wadau wengine wa tehama.
 Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete ,  Rais wa Serikari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa akiwa katika 'Laptop' kwa ajili ya kubofya ili kuruhusu Rasmi mtambo huo kuanza kufanya kazi.

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akitoa Maelezo ya kina kwa Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete ,  Rais wa Serikari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jinsi Mtambo huo unavyofanya kazi
 Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  akizungumza Jambo wakati wa uzinduzi Rasmi  wa Mtambo huo.

 Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete ,  Rais wa Serikari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa katikati akiwa ameongozana na na Mheshimiwa Profesa Makame Mbarawa Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Tekinokojia (wa upande wa kushoto) Pamoja na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dk. Fenela Mukangara (wa upande wa kulia) wakiwa wanaingia katika viwanja vya TCRA kwa ajili ya Sherehe hizo.

 Wimbo wa Taifa ukiwa unaimba wakati wa Sherehe hizo.
 Meneja Mahusiano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Inocent Mungy akitoa maelekezo Mbalimbali wakati wa Sherehe za uzinduzi wa Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu
 Burudani ikiwa inaendelea
  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akiwakaribisha wageni waalikwa na kuelezea juu ya Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu , ongezeko la pato linalotokana na mtambo huo, pamoja na malengo ya baadae ya kuboresha huduma za mawasiliano Tanzania

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akikabidhi Mfano wa hundi kwa ajili ya fedha zilizopatikana kutokana na Mtambo huo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akikabidhi Baasha inayo onesha uthibitisho wa malipo hayo.
 Kaimu Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Injinia Salmin Senga Salmin akitoa maelezo zaidi kuhusu Mtambo  Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa Simu.
 Mheshimiwa Profesa Makame Mbarawa Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Tekinokojia akimkaribisha  Mgeni Rasmi  Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete , Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kutoa hotuba yake
 Mgeni Rasmi  Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho kiwete ,  Rais wa Serikari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitoa hotuba yake, katika Hotuba hiyo aliipongeza Mamlaka ya Mawasiliano ya Tanzania kwa kazi kubwa wanayo ifanya na kuonesha ni jinsi gani wanarahisisha suala zima la mawasiliano.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akizungumza jambo na Rais Dk. Jakaya Kikwete
 Kutoka Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sadick Meck akiwa na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dk. Fenela Mukangara wa kati kati pamoja na Mheshimiwa Profesa Makame Mbarawa Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Tekinokojia
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akimshukuru Rais Dk. Jakaya Kikwete kwa Hotuba yake.
 Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dk. Fenela Mukangara akitoa neno la Shukurani kwa Rais Dk. Jakaya Kikwete kwa kuhudhuria Sherehe hizo za Uzinduzi Rasmi wa Mtambo Maalum wa Usimamizi na Uhakiki wa mawasiliano ya Simu

 Picha ya Pamoja
Kundi la Mrisho Mpoto
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma akiagana na Rais Dk. Jakaya Kikwete
 Rais Dk. Jakaya Kikwete akiagana na Viongozi Mbalimbali

 Viongozi Mbalimbali wakiagana
Bendi ya Jeshi la Polisi ikitumbuiza
 Bendi ya Mrisho Mpoto ikitumbuiza
 
 Viongozi na wageni waalikwa 

Picha zote na Fredy Njeje/Blogs za Mikoa 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa