Kulia ni Kulwa na kushoto ni Dotto Mwaibale wakiwa na sura za Majonzi wakati wa Ibada fupi ya Kumuombea Mama yao Mpendwa kabla ya kuanza Safari ya kwenda Mbeya
Wa kwanza Kulia ni Mdogo wao wa Mwisho wa Akina Mwaibale Ambwene na wa pili kutoka kulia ni Dada yao Mkubwa wa akina Mwaibale Mary Anyitike ambaye ni Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti Shughuli za Vijana Taifa
Mwili wa Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mfumu
mama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale ukiwa unaandaliwa tayari kwa kuombewa, Kuagwa na kusafirishwa
Mchungaji Ephraim Mwakajwanga Akiwa anaongoza Ibada ya Kumuaga Mama mzazi wa Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale Bi. Twitikege Mlagha Mfumu leo katika Hospitali ya Temeke
Baba Mchungaji akitoa Neno la Kiroho (Mahubiri mafupi) wakati wa kuuaga Mwili wa Marehemu, Katika Mahubiri hayo alisisitiza kuwa Duniani tunapita kila kitu kinabaki hivyo ni vizuri kila mmoja ajiandae na kuwa mama ametangulia na sisi tunafuata hivyo yatupasa kuwa tayari
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers Abdalah Mrisho akitoa salam za Rambi rambi kwa wafiwa ambapo Kulwa Mwaibale anafanyia kazi hapo.
Joachim Mushi akisoma utaratibu na kutoa maelezo mbalimbali wakati wa shughuli za kuuaga mwili wa Marehemu.
Muwakilishi kutoka Jambo Concept ambao ndio wachapishaji wa Gazeti la Jambo leo ambapo Dotto Mwaibale anafanyia kazi huko Mkurugenzi Beny Kisaka wakitoa salam za Rambi rambi ambapo walitoa mkono wa pole wa kiasi cha Shilingi Laki tano.
Muwakilishi kutoka Skauti ambako Dada yao Mkubwa wa akina Mwaibale anafanyia kazi akitoa salam za Rambi rambi
Msemaji wa kwa Niaba ya Familia Noah Mwakalasya akitoa neno la Shukurani kwa niaba ya wanafamilia na kushukuru kwa moyo waliojitolea kuja kumsindikiza mama yao mpendwa
Dada Mkubwa wa akina Mwaibale Mary Anyitike ambaye ni Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti Shughuli za Vijana Taifa akisoma wasifu wa Marehemu mama yao
Baba Mchungaji akitoa Neno la Mbaraka wakati wa kumaliza ibada ya kumuombea Marehemu Mama yao Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale kabla ya kuanza safari kuelekea Mbeya kwa Mazishi.
Mdogo wa Mwisho wa akina Mwaibale Ambwene akitoa salam za Mwisho kwa Marehemu mama yake
Dada Mkubwa wa akina Mwaibale Mary Anyitike ambaye ni Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti Shughuli za Vijana Taifa akitoa salam za Mwisho za kuuaga mwili wa Marehemu Mama yao
Dotto Mwaibale Akiaga Mwili wa Marehemu mama yake
Kulwa na Dotto Mwaibale wakiuaga Mwili wa Marehemu mama yao
Kulwa Mwaibale akiwa ameshikiriwa na ndugu zake Baada ya Kuaga Mwili wa Mama yake
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers Eric Shigongo akiwa anaaga Mwili wa Marehemu
Muhidin Issa Michuzi Mmiliki wa Michuzi Blog akitoa Heshima za mwisho katika Mwili wa Marehemu
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers Akitoa Heshima za Mwisho katika Mwili wa Marehemu
Muhidin Issa Michuzi wa katikati na Abdalah Mrisho wa kwanza kulia wakimpa pole Dotto Mwaibale
Kulwa na Dotto Mwaibale wakiwa katika ya pamoja na Baadhi ya waandishi kutoka Jambo leo, Global Publishers, Habari Maelezo na vyombo vyengine vya Habari
Baadhi ya Bloggers wakiwa katika Msiba wa Mama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale kutoka kushoto ni Geoffrey Adroph wa Pamoja Blog, Cathbert Kajuna wa Habari na Matukio Blog na Joachim Mushi wa The Habari blog
Baadhi ya Waombolezaji wakiwa katika Majonzi
Waombolezaji wakiwa katika Shughuli ya Kuuaga mwili wa Mama yao Dotto,Kulwa na Nico Mwaibale
******
Rais wa Jamuhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete atuma salamu za Rambirambi katika
Familia ya Mwaibale Kwa kuondokewa na Mama Mzazi wao mpendwa Bi.Twitikege Mlagha Mafumu
aliye fariki majira ya saa 5 usiku siku ya jumamosi wakati akikimbizwa
hosipitali ya hindra kwaajiri ya Matibabu
Akiwasilisha salaamu
hizo kwaniaba ya Rais Jakaya Kikwete Meneja Mkuu wa Globabal Publishers Limited
Abdalah Mrisho Ameweza kutoa pole kwa wafiwa wote kwa ujumla wakiwakilishwa na
Kulwa,Dotto na Nico Mwaibale Hivyo Kuwa na Moyo wa uvumilivu katika kipindi
kigumu kilicho wafika familia ya Mwaibale
Vilevile Aliweza
simama Kwa niaba ya Wanahabari Abdalah Mrisho aliweza kufikisha salaamu hizo
Kwa kuwapa pole familia na wote walio guswa na msiba wakiwemo ndugu,jamaa na
marafiki wa ndugu yetu mpendwa ambaye kwa sasa ni marehemu Bi. Twitikege Mlagha
Mafumu
Mwili wa ndugu yetu
Mpendwa umeagwa leo Mchana majira ya saa
6 katika Hospitali ya Wilaya ya Temeke na kuanza safari ya kuusafirisha kwa kwenda kumpumzisha
mama mpendwa katika kijiji cha Kibumbe,Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya ambapo Anatarajiwa kuzikwa kesho Tar 17 alasil mwezi wa kumi na mbili
(12) Mwaka huu
Tunapenda kutoa pole
kwa wafiwa wote na Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema peponi
Amen
0 comments:
Post a Comment