Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » JUST IN TUKIO KAIKA PICHA: MAJI MENGI YANAMWAGIKA ENEO LA MOROCO NA KUGEUZA BARABARA KUWA KAMA MTO

JUST IN TUKIO KAIKA PICHA: MAJI MENGI YANAMWAGIKA ENEO LA MOROCO NA KUGEUZA BARABARA KUWA KAMA MTO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 
 Hivi ndivyo bomba hilo linavyo  onekana likimwaga maji mengi bila ukomo eneo la Moroco muda mchache uliopita, huku kazi za ujenzi wa kituo cha mabasi yaendayo kasi wakiwa wamesimama kwa muda wakitafuta suruhu, haijulikani kama ni Bomba la Maji safi au lah... mpaka tunaondoka eneo la tukio maji yalikuwa yanamwagika kwa wingi sana.

Picha na Dar es salaam yetu

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa