Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Hivi ndivyo bomba hilo linavyo onekana likimwaga maji mengi bila ukomo eneo la Moroco muda mchache uliopita, huku kazi za ujenzi wa kituo cha mabasi yaendayo kasi wakiwa wamesimama kwa muda wakitafuta suruhu, haijulikani kama ni Bomba la Maji safi au lah... mpaka tunaondoka eneo la tukio maji yalikuwa yanamwagika kwa wingi sana.
Picha na Dar es salaam yetu
0 comments:
Post a Comment