Home »
» CCM Jimbo la Kawe yazindua kampeni za uchaguzi mkuu yamnadi Kippi Warioba
CCM Jimbo la Kawe yazindua kampeni za uchaguzi mkuu yamnadi Kippi Warioba
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
|
Mgombea
Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi
Warioba (katikati mbele), akisindikizwa na wanachama wa chama hicho,
alipowasili katika viwanja vya Shule ya Msingi Boko Kata ya Bunju,
wakati CCM ilipozindua kampeni kwaajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25,
katika jimbo hilo, jijini Dar es Salaam jana. (PICHA/JOHN BADI WA DAILY
MITIKASI BLOG)
|
|
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge
(kulia) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM,
Kippi Warioba mbele ya umati wa wanachama wa chama hicho na wananchi
waliofurika katika viwanja vya Shule ya Msingi Boko Kata ya Bunju,
wakati wa uzinduzi wa kampeni kwaajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25,
katika jimbo hilo, jijini Dar es Salaam jana.
|
|
Katibu
Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba
‘Gadafi’ (kulia) akimpongeza Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi
ya CCM, Kippi Warioba baada ya kumkabidhi Ilani ya CCM kwa ajili ya
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015, mbele ya umati wa wanachama wa chama hicho
na wananchi waliofurika katika viwanja vya Shule ya Msingi Boko Kata ya
Bunju, wakati wa uzinduzi wa kampeni jimboni humo, jijini Dar es Salaam
jana.
|
|
Katibu
Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba
‘Gadafi’ (kushoto) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa
tiketi ya CCM, Kippi Warioba baada ya kumkadhi Ilani ya CCM kwa ajili ya
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015, mbele ya umati wa wanachama wa chama hicho
na wananchi waliofurika katika viwanja vya Shule ya Msingi Boko Kata ya
Bunju, wakati wa uzinduzi wa kampeni jimboni humo, jijini Dar es Salaam
jana.
|
|
Mgombea
Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi
Warioba (kulia), akiusalimia umati wa wanachama wa chama hicho na
wananchi waliofurika katika viwanja vya Shule ya Msingi Boko Kata ya
Bunju, baada ya kutambulishwa na kukabidhiwa Ilani ya CCM kwa ajili ya
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015, wakati wa uzinduzi wa kampeni jimboni humo,
jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Katibu Mwenezi wa CCM, Mkoa
wa Dar es Salaam, Juma Simba ‘Gadafi’.
|
|
Mgombea
Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi
Warioba akizungumza umati wa wanachama wa CCM na wananchi waliofurika
katika viwanja vya Shule ya Msingi Boko Kata ya Bunju, wakati wa
uzinduzi wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, katika
jimbo hilo, jijini Dar es Salaam jana.
|
|
Mgombea
Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi
Warioba akiinadi Ilani ya CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015,
mbele ya umati wa wanachama wa chama hicho na wananchi waliofurika
katika viwanja vya Shule ya Msingi Boko Kata ya Bunju, wakati wa
uzinduzi wa kampeni jimboni humo, jijini Dar es Salaam jana.
|
|
MAMA
MZAA CHEMA … Mama Evelyne Warioba ambaye ni mama mzazi wa Mgombea
Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi
Warioba akiusalimia umati wa wanachama wa chama hicho na wananchi
waliofurika katika viwanja vya Shule ya Msingi Boko Kata ya Bunju,
wakati wa uzinduzi huo.
|
|
Sehemu
ya umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi

Mhamasishaji maarufu kwa jina la ‘Msaga Sumu’ naye alikuwepo. |
0 comments:
Post a Comment