Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya kufungua Mkutano wa Kulinda na
kuendeleza Vituo vya Biashara Tanzania, uliofanyika kwenye Hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam, leo Okt 5, 2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiperuzi Document na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na
Teknolojia, John Mngodo, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa
Kulinda na kuendeleza Vituo vya Biashara Tanzania, uliofanyika kwenye
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Okt 5, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wa Kulinda
na kuendeleza Vituo vya Biashara Tanzania, baada ya ufunguzi rasmi
uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Okt 5,
2015
Baadhi ya washiriki na wadau waliohudhuria mkutano huo wa Kulinda na
kuendeleza Vituo vya Biashara Tanzania, uliofunguliwa leo kwenye Hoteli
ya Serena jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal,
wakati akihutubia.
Baadhi ya washiriki na wadau waliohudhuria mkutano huo wa Kulinda na
kuendeleza Vituo vya Biashara Tanzania, uliofunguliwa leo kwenye Hoteli
ya Serena jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal,
wakati akihutubia.
:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo,
mara baada ya ufunguzi rasmi
0 comments:
Post a Comment