Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mwenyekiti
wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini, Peter Mziray (katikati),
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo
asubuhi, kuhusu kuahirishwa kwa kikao cha baraza hilo kilichokuwa
kifanyike Oktoba 6 na r7, 2015 kutokana na kifo Mwenyekiti wa Taifa wa
Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Kulia ni
Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa, Sisty Nyahoza na Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge na Siasa na Rais wa ADA, John Chipaka.
Msajili
Msaidizi wa Vyama Vya Siasa, Sisty Nyahoza (kulia), akizungumza katika
mkutano huo, kuhusu kuahirishwa kwa kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa
kilichokuwa kifanyike Oktoba 6 na 7, 2015 kutokana na kifo Mwenyekiti wa
Taifa wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher
Mtikila. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini,
Peter Mziray.
Ofisa Habari wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Monica Munanka (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
0 comments:
Post a Comment