Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Lorcan Fullam ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Machi 30, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Lorcan Fullam ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Machi 30, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Lorcan Fullam ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Machi 30, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment