Home » » DK. HARRISON MWAKYEMBE ARIPOTI OFISINI NA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO

DK. HARRISON MWAKYEMBE ARIPOTI OFISINI NA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO


Nauibu Waziri wa Ujenzi Dr Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam ofisini kwake kuhusiana na maendeleo ya Afya yake nakusema kwamba yeye sasa yuko fiti kiafya, na ameripoti ofisini rasmi leo hii alipoulizwa maswali kutoka kwa waandishi wa habari akasema mambo yote anaichia serikali kupitia tume maalumu iliyoundwa kufutilia suala la ugonjwa wake.

Dr Mwakyembe akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari mbalimbali leo ofisini kwake .
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE) 

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa