Home » » Kiota Kipya kabisa cha maraha Bagus BBQ Cafe Mbezi Beach

Kiota Kipya kabisa cha maraha Bagus BBQ Cafe Mbezi Beach

MENU



Jinsi ya kufika 
Ukifika Africana barabara ya kwenda white sands hotel, kuna barabara ya kawaida inayoingia juliana hote(kuna vibao vingi tu vya matangazo hapo mwanzo) wa barabara ambayo itakuwa mkono wako wa kulia kama unatokea africana na kama unatokea bara baraya chini ya kawe itakuwa mkono wako wa kushoto,ukishangia kwenye hiyo barabara ya juliana hotel unakuja nayo moja kwa moja kama mita 300 na utatukuta upande wako kulia tukichoma nyama daily kaunzia saa kumi na moja jioni mpaka nne usiku
 Toa oda yako sasa kupitia namba ya simu:  0789 508 294 

Pia Bofya hapa chini ku Like Page yao Facebook 

 


0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa