Kikosi cha Simba.
Kikosi cha Es Satif
Marefarii na Manahodha wa timu zote mbili.
Mkono wa kheri kabla ya mtanange kuanza.
Mshambuliaji wa Timu ya Simba,Salum Machaku (kulia) akijiandaa kuachia shuti kali kuelekea langoni mwa timu ya Es Satif katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho unaoendelea hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mpaka Simba wanaongoza bao 1 - 0.
Mshambuliaji wa Simba,Emmanuel Okwi (kulia) akimtoka beki wa timu ya Es Satif ya nchini Argeria,Farouk Belkaid katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho unaoendelea hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mpaka Simba wanaongoza bao 1 - 0.
Ameir Maftah wa timu ya Simba (kulia) akiachia shuti kali kuelekea langoni mwa timu ya Es Satif.
Beki wa Es Satif (alielala chini) akiondosha hatari langoni mwake wakati Salum Machaku akitaka kujaribu kufunga goli.
Holaaaaaa..........
Hatari langoni mwa Es Satif.
Waziri Mkuu mstaafu,Mh. Fredrick Sumaye (mwenye suti),Waziri wa Afrika Mashariki,Mh. Samuel Sitta (kulia),Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Zitto Kabwe pamoja na Mbunge wa Tabora Mjini,Mh. Aden Rage wapo uwanjani hapa kuisapoti timu ya Simba.
Mashabiki wa Simba wakiwa wamefurika uwanjani hapa.
Picha kwa Hisani ya Jiachie Blog
Picha kwa Hisani ya Jiachie Blog














0 comments:
Post a Comment