Home » » Rais Jakaya Kikwete Aagana na Mabalozi Wapya wa Tanzania Nchini Italia,Uganda na Msumbiji Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais Jakaya Kikwete Aagana na Mabalozi Wapya wa Tanzania Nchini Italia,Uganda na Msumbiji Ikulu Jijini Dar es Salaam





Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi Mpya wa Tanzania nchini
Msumbiji Mhe.Bi Shamim Nyanduga ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini
Uganda,Dkt.Ladislaus Komba ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jana ameagana na mabalozi wapya watatu
watakaoiwakilisha Tanzania nchi za nje.Mabalozi waliokwenda ikulu
kumuaga Rais Kikwete ni pamoja na Dkt.James Msekela anayekwenda Italia,
Dkt.Ladislaus Komba anayekwenda Uganda na Mhe.Bi.Shamim Nyanduga
anayekwenda Msumbiji.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na Balozi Mpya wa Tanzania nchini Italia Dkt.James Msekela
ikulu jijini Dar es Salaam jana.

Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa