Home »
» RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA APOKEA TUZO KUTOKA MFUKO WA BIMA YA AFYA
RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA APOKEA TUZO KUTOKA MFUKO WA BIMA YA AFYA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa (katikati) na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mfuko wa Bima ya Afya kwenye ofisi kuu ya mfuko huo barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam Machi 19, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa Tuzo ya Kuenzi mchango wake katika uanzishwaji wa Mfuko wa Bima ya Afya katika uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya mfuko huo uziliofanyika kwenye ofisi kuu ya mfuko, barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam Machi 19, 2012.Kushoto ni Waziri Mkuu, Frederick Sumaye ambaye pia alipewe tuzo hiyo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment