Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani Tanzania, SACP, Mohammed Mpinga akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mikakati mbalimbali waliyopanga kupunguza matukio ya ajali nchini. Kushoto ni Ofisa Mfawidhi wa Kikosi hicho, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatano.
Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani Tanzania, Mohamed Mpinga akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mikakati mbalimbali waliyopanga kupunguza matukio ya ajali nchini. Kulia kwake ni Ofisa Mfawidhi wa Kikosi hicho, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatano.
Ofisa Mfawidhi wa Kikosi hicho, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatano akifafanua jambo mbele ya wanahabari
Baadhi ya maofisa wa kikosi hicho wakisikiliza kwa makini wakati SACP, Mpinga akizungumza
Wanahabari wakiwa kazini wakati wa mkutano huo
0 comments:
Post a Comment