Home » » COCA-COALA YAZINDUA KAMPENI YA 'SABABU BILIONO ZA KUTHAMINI AFRIKA'

COCA-COALA YAZINDUA KAMPENI YA 'SABABU BILIONO ZA KUTHAMINI AFRIKA'


Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Coca-Cola ya 'sababu bilioni za kuthamini Afrika' Dar es Salaam leo.  Kushoto Meneja Mkazi wa Coca-Cola Tanzania, Dimeji Olaniyan.


Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya dekoda, mwandishi wa habari Agnes Sikaonga wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Coca-Cola ya 'sababu bilioni za kuthamini Afrika' Dar es Salaam jana.  Katikati ni Meneja Mkazi wa Coca-Cola Tanzania, Dimeji Olaniyan.


Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya dekoda, mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi, Fariji Msonsa wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Coca-Cola ya 'sababu bilioni za kuthamini Afrika' Dar es Salaam jana.  Katikati ni Meneja Mkazi wa Coca-Cola Tanzania, Dimeji Olaniyan.


Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi (kushoto) akiiingiza mkono kwenye kasha kuchagua karatasi lenye jina la mshindi wa bahati nasibu iliyochezwa wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Mshereheshaji wa hafla hiyo, Kibonde


Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Televisheni mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi, Nora Damiani aliyeshinda bahati nasibu wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Coca-Cola ya 'sababu bilioni za kuthamini Afrika' Dar es Salaam jana.  Kulia ni Meneja Mkazi wa Coca-Cola Tanzania, Dimeji Olaniyan.


 Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika leo  Mlimani City, Dar es Salaam


                                          Wanahabari wakiwa kazini wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa