Home » » NGORONGORO HEROES YAIBANJUA SUDAN MABAO 3-1

NGORONGORO HEROES YAIBANJUA SUDAN MABAO 3-1



Baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania U20 kutoka kulia Thomas Ulimwengu, Hassan Ramadhan na Frank Sekule wakishangilia baada ya Thomas Ulimwengu,  kufunga bao la kwanza dhidi ya Sudan U20 wakati wa mchezo wao uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa leo jioni jijini Dar es salaam. Haadi mwisho wa mchezo huo Heroes iliibuka na ushindi wa mabao 3-1. 
Picha na Sufiana mafoto

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa