Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » PICHA ZA MPAMBANO WA SIMBA NA SETIF NCHINI ALGERIA, AMBAPO SIMBA IMESONGA MBELE KATIKA MICHUANO HIYO

PICHA ZA MPAMBANO WA SIMBA NA SETIF NCHINI ALGERIA, AMBAPO SIMBA IMESONGA MBELE KATIKA MICHUANO HIYO



 Wachezaji wa Simba wakipeana mawaidha kabla ya kuanza kwa mchezo huo ambao katika dakika ya 12 tu ya mchezo beki mahiri wa Simba Juma Nyoso alipewa kadi nyekundu na kutolewa nje ya uwanja.
 Mashabiki wa timu ya Es Setif wakiwa wamejaa uwanjani kabla ya kuanza kwa mpambano huo jijini Setif Algeri.
Wanafunzi wa Kitanzania walitupa sapoti kubwa. Zacharia Hans Poppe ndiye
aliyegharamia kiingilio cha wanafunzi wote walioingia uwanjani!
 Mdau Nick Magarinza  katikati pamoja na wanasimba wengine wakiwa uwanjani wakishuhudia mpambano huo.
Wachezaji wa Simba wakipata chakula cha usiku mara baada ya kuwaondosha waarabu hao huko Setif na kutinga hatua ya makundi.
Picha zote kwa Hisani ya Blog ya Full Shangwe

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa