Home » » PROFESA IBRAHIM LIPUMBA ALAANI VURUGU ZILIZOTOKEA HUKO TANDAHIMBA

PROFESA IBRAHIM LIPUMBA ALAANI VURUGU ZILIZOTOKEA HUKO TANDAHIMBA


Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Professa Ibraim Lipumba
akiongea na waandishi wa habari leo katika makao makuu ya chama hicho
yaliyoko Buguruni jijini Dar es Salaam juu ya kulaani vikali vurugu
zilizotokea katika wilaya ya Tandahimba iliyopelekea kuchomwa moto baadhi ya
vibanda vya wafanyabihashara ambao ni wancahama wa chama hicho
waliojitokeza kuzima moto uliokuwa unaunguza ofisi ya kamanda mkuu wa
polisi wilaya humo.


Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano huo wakiwa makini kumsikiliza profesa Lipumba.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Picha kwa hisani ya Full Shangwe Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa