Home » » Rais Kikwete akutana na na Balozi wa UAE

Rais Kikwete akutana na na Balozi wa UAE


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro). 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa