Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » TAMASHA LA PASAKA LAFANA UWANJA WA TAIFA JIONI HII

TAMASHA LA PASAKA LAFANA UWANJA WA TAIFA JIONI HII

Mwimbaji Upendo Kirahiro akifanya vitu vyake jukwaani
Mwanamuziki Rebecca Malope kutoka nchini Afrika Kusini akielekeza jambo katika tamasha hilo kabla ya kupanda jukwaani leo hii kwenye uwanja wa Taifa.
Waimbaji wa muziki wa injili wakiingia uwanjani kutoka kulia ni Christina Shusho, Upendo Kirahiro na Upendo Nkone.
Wanamuziki Rose Muhando akiingia uwanjani huku akiwa ameongozana na waimbaji kutoka nchini Kenya Tutuma kushoto na Emi Kosgei..
Elistone Angai naye yumo katika tamasha hilo leo hii.
Kundi lingine likitumbuiza katika tamasha hilo.
Mashabiki lukuki wakiwa uwanjani
Mashabiki wakiwa uwanjani
Mashabiki wakiimba  na kucheza kwa nguvu katika uwanja wa Taifa
Picha na FULL SHANGWE

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa