Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Updates-Kanumba ukiingizwa Chumba cha Maiti Muhimbili.

Updates-Kanumba ukiingizwa Chumba cha Maiti Muhimbili.

IMG_20120407_073433

Maofisa wauguzi wakiuingiza mwili wa Marehemu Kanumba chumba cha Mauti katika hospitali ya Muhimbili.
IMG_20120407_073439
Ray Kigosi mwenye kapelo akishuhudia mwili wa swahiba wake ukiingizwa chumba cha Maiti Muhimbili usiku huu.
IMG_20120407_073506
Msanii ambaye kwa sasa anakuja juu kwa kasi JB akiwa na masikitiko makubwa ndani ya chumba cha maiti Muhimbili.
IMG_20120407_073619
Mashabiki wakiwa wamekusanyika katika viunga vya hospitali ya Muhimbili. 
image

Picha hii imepigwa na Shamim Mwasha nyumbani kwa marehemu asubuhi hii.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi – Ameni.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa