Home » » UZINDUZI WA NOKIA ASHA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

UZINDUZI WA NOKIA ASHA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO



Mabalozi wa Kampuni ya Simu ya Nokia wakiwa katika harakati za kuwafikishia ujumbe wakazi wa jiji la Dar es salaam kwa kutumia vipeperushi juu ya uzinduzi wa simu mpya zinazofahamika kwa "NOKIA ASHA" ambazo zinapatikana madukani kuanzia sasa.Uzinduzi huo unafanyika leo kwenye ukumbi wa Club Bilicanas,Jijini Dar es Salaam.
Picha kwa Hisani ya Mtaa kwa Mtaa Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa