Home » » WAREMBO MISS CHANG'OMBE WAANZA KUPEWA SOMO

WAREMBO MISS CHANG'OMBE WAANZA KUPEWA SOMO


Warembo wanmaotarajia kuwania umalkia wa mashindano ya Miss Chang'ombe, wakiwa katika mazoezi ya awali jana kwenye viwanja vya Hoteli ya Lamada, Dar es Salaam. Mazoezi ya kukata na shoka yataanza rasmi Mei 1, mwaka huu na mashindano
itakuwa Juni 9, mwaka huu..

 Mwalimu wa warembo hao,Vumilia Willbrod akiwaelekeza jinsi ya kusimama walipokuwa wakipiga picha ya pamoja wakati wa mazoezi hayo.

Mratibu wa mashindano hayo, Thom Chilala (kushoto), akitoa somo kwa baadhi ya warembo watakaoshiriki Miss Chang'ombe
 Mwalimu Msaidizi wa mashindano hayo, Teddy Chilala (kulia)akitoa maelekezo kwa warembo kuhusu 
mavazi yanayotakiwa kuvaliwa wakati wa mazoezi


0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa