Home » » WAZIRI MKUU PINDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UMWAGILIAJI.

WAZIRI MKUU PINDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UMWAGILIAJI.





Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha  Kutia Saini Mkataba wa Makubaliano (MOU) kati ya Serikali na Kampuni ya Jain Irrigation System Limited ya India, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprili 5,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishuhudia utiaji saini  wa Mkataba wa Makubaliano  (MOU) kati ya  Serikali na Kampuni ya Jain Irrigation System Limited ya India uliofanyika Ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprili 5, 2012.Wakitia saini niWaziri wa  Kilimo na Maendeleo, Chakula  na Maendeleo ya Ushirika, Profesa Jumnne Maghembe (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jain, Bw. Atul Jain.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa