Tanzania Jackson Mmbando akitangaza kuongeka kwa zawadi ya hadi Tsh
143 m/-katika promosheni ya Nani Mkali itakayoendelea kwa muda wa miezi
miwili zaidi, kulia ni Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Dangio Kaniki
akifuatilia wakati wa mkutano wa waandishi wa habari (hawapo pichani)
Ili kushiriki promosheni andika neno “Mkali” tuma kwenda 15656 bure.
Baada ya hapo atatumiwa maswali na kila atakapo toa jibu sahihi atapata
pointi 20 na jibu lisilo sahihi pointi 10.Kila ujumbe wenye jibu
utatozwa shillingi 350 pamoja na kodi.
Kampuni ya simu za mkononi ya
Airtel imeongeza muda kwa wateja wake kuendelea kucheza promosheni yake
kabambe ya Nani mkali ambayo ilianza miezi mitatu iliyopita na
kuwafaidisha zaidi ya wateja 90 wa Airtel waliojishindia jumla ya
miliono 217 kwa mgawanyo wa kuanzia milioni 1 kila siku, milioni 3 kila
wiki na milioni 30 kwa washindi wa mwezi

Akiongea na waandishi wa habari leo Meneja
uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando alisema promosheni hii
imekuwa na faida kwetu Airtel wateja wetu waliokuwa wakishiriki
wameifurahia na ndio maana leo tumeamua kuongeza zawadi na muda wa
promosheni ya Nani Mkali

Hivyo promosheni yetu inaongezwa muda wa
miezi miwili huku zawadi zitakazo toka ni pesa taslim Jumla ya ya
shilingi milioni 143 katika mgawanyo wa kuanzia shilingi milioni 1 kila
siku-washindi 52, milioni 3 kila wiki –washindi 7,na milioni 30 kwa
kila mwezi itatoka kwa washindi 2.

Pia tutakuwa na washindi wengine
watakaogawana kitita cha shilingi milioni 10 za zaidi ikiwa watakuwa
kati ya wachezaji bora wa promosheni ya Nani mkali

Ili mteja kushiriki na kujishindia zawadi hizi kabambe Afisa
Mawasiliano wa Airtel bi Dangio Kaniki alisema,” kudhihirisha kauli
mbiu yetu ya jisikie huru katika promosheni hii mteja anatakiwa kuandika
neno “Mkali” na kutuma kwenye namba 15656 bure kabisa ili kujiunga.
Baada ya hapo atatumiwa maswali na kila atakapo toa jibu sahihi atapata
pointi 20 na jibu lisilo sahihi pointi 10.Kila ujumbe wenye jibu
utatozwa shillingi 350 pamoja na kodi.
Promosheni
hii pia itatoa fursa kwa wateja kuchagua lugha wanayotaka kwa kutuma
neno “swa” kwa Kiswahili au “eng” kwa lugha ya kiingereza kwenda namba 15595
Kujua alama ulizonazo au point mteja wetu atatakia kutuma neno “point”
au “alama” kupatiwa pointi alizojikusanyia. Kujiondoa kwenye promosheni
mteja atatakiwa kutuma neno “cancel’ au “stop” kwenda namba 15595

Promosheni ya nani mkali ilizinduliwa rasmi
februari 15, 2012 na kudumu kwa muda wa miezi mitatu.Nani Mkali
imefanikiwa kuwazawadia wateja wa Airtel kutoa mikoa mbali mbali ikiwemo Arusha, Muheza Tanga and DSM, Tabora, Dodoma, Mwanza, Mbeya, Iringa, Kilimanjaroa na mingine mingi.

0 comments:
Post a Comment