Home » » Ashambuliwa na Kukatwa Mapanga na Mtu Asiyejulikana

Ashambuliwa na Kukatwa Mapanga na Mtu Asiyejulikana

Johari Juma akijiandaa kumlisha mwanawe Frank Temu aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na majeraha aliyopata baada ya kushambuliwa na kukatwa mapanga na mtu asiyejulikana Jumanne iliyopita katika kijiji cha Mtakuja A, Bagamoyo, Pwani.Picha na Gloria Tesha.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa