Home » » IKULU:Rais Jakaya Kikwete Arejea Nchini Baada ya Kuhudhuria Mkutano wa G8 Nchini Marekan

IKULU:Rais Jakaya Kikwete Arejea Nchini Baada ya Kuhudhuria Mkutano wa G8 Nchini Marekan


Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akimkaribisha Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jioni, akitokea nchini Marekani ambapo alihudhuria mkutano wa G8.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama leo jioni  muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Marekani ambapo alishiriki katika mkutano wa G8.
Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa