Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh
Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012.
Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi

Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mh

Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi. Katikati yao ni mkalimani

Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Iran Mh Muhammad Reza Rahimi Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30,
2012. Kiongozi huyo yuko nchini kwa ziara ya kikazi
Picha na Ikulu

0 comments:
Post a Comment