Home » » RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE WA RAIS WA BURUNDI IKULU DAR ES SALAAM LEO

RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE WA RAIS WA BURUNDI IKULU DAR ES SALAAM LEO







Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimpokea Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30, 2012 Mjumbe maalumu
kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi, ambaye ni Waziri wa
Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kati ni Balozi wa Burundi nchini
Tanzania




 Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Ikulu jijini Dar es salaam leo May 30,
2012 na Mjumbe maalumu kutoka serikali ya Burundi, Mh Martin Nivyabandi,
ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa nchi hiyo. Kushoto  ni Balozi
wa Burundi nchini Tanzania.

Picha Na Ikulu

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa