Home » » REDDS MISS AND MR IFM 2012 @ CINE CLUB

REDDS MISS AND MR IFM 2012 @ CINE CLUB




BETTER
DAYZ ENTERTAINMENT NA MARAFIKI WA KWELI LTD , wanakuletea REDDS MISS
IFM 2012  Pamoja na shindano la MR IFM 2012  ambayo yote kwa pamoja
yataefanyika katika ufukwe wa CINE CLUB Mokocheni kwa WARIOBA Tarehe
12/05/2012 . Msanii Bingwa wa Mwaka, DIAMOND PLATNUM atasimama kwenye
stage na Kuporomosha show ya Mwaka pamoja na Mabinti hawa. Ni tukio la
Mwaka na pia ndio tukio Pekee ambalo tutamshuhudia Diamond Platnum
akiwarusha Mamiss na Nyimbo zake Kibao.. Njoo Bila Kukosa kwa Kiingilio
Cha TSHS 15,000/= (Wanafunzi wa IFM ) na TSHS 20,000/= (kwa Wasio
wanafunzi). Karibuni Sana. Pia MC MPOKIIII  atatuvunja Mbavu.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa